This is default featured post 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, October 28, 2012

Jinsi ya kuinstall Boost C++ library kwenye windows 7 na MinGW(gcc) compiler

Katika tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kucompile boost c++ library kwenye windows kwa kutumia MinGW compiler, ambayo ni gcc compiler kwa windows. Kabla ya kuendelea hakikisha umeinstall MinGW na MSYS. Kwanza kabisa download boost kutokea hapa. Download (.zip) file. Extract boost. Ukishamaliza fungua command prompt. andika cmd kwenye search bar iliyopo kwenye start menu. kisha nenda kwenye directory uliyoextract boost. Andika cd boost_directory_path example: cd C:\Users\bongotuts\Downloads\boost_1_51_0\boost_1_51_0 kisha andika bootstrap.bat gcc ukimaliza andika bjam --toolset=gcc link=static...

Tuesday, October 16, 2012

Jinsi ya kuandaa bootable USB flash disk ya windows 7

Intro Katika tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kuandaa bootable flash disk yenye windows 7 kwa wale wanaotaka kuinstall windows 7 kwa kutumia flash disk. Kama ulishawahi kujiuliza kwa zile computer ambazo hazina CD/DVD drive inakuwaje watu wanainstall operating sytems, basi hii ni njia mojawapo na rahisi. Unaweza pia kununua external CD/DVD drive ambayo inachomekwa kwenye USB, lakini kwa nini ufanye hivyo wakati unaweza kuifanya flash disk yako ikainstall windows. Leo ntawaonyesha kufanya hivi...

Tuesday, October 9, 2012

Jinsi ya kutumia gcc compiler(Basic)

Intro Kwenye tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kutumia gcc compiler kucompile programs zako. Kwa kirefu gcc inamaanisha GNU Compiler Collections ambayo inajumuisha programming language nyingi kama vile C/C++, Java, Objective-C na zinginezo nyingi. Kwenye hii tutorial ntawaonyesha jinsi ya kucompile C/C++ programs, kwa lugha nyingine kama java na objective-c jinsi ya kucompile kunafanana utahitaji kuongeza vitu vichache tu. Ili kufuatisha vizuri hii tutorial inabidi uwe kwenye linux na uwe umeinstall...

Monday, October 1, 2012

Introduction to C

Intro Kwenye tutorial hii tutajifunza jinsi ya kuandika program kwa kutumia C. Kwanza kabisa kabla sijaanza kuna maneno inabidi tuyafahamu. Maneno hayo ni Machine code, Assembly language, High-level language, Compiler, Function na Libraries. Machine code ni nini? Machine code ndio lugha ambayo computer inaelewa. Pindi unaporun/execute program operating system huwa inacopy program yote na kuipeleka kwenye memory, program inakuwa ipo kwenye machine codes. Kama huelewi hii usihofu itakuja kuwa clear...

Page 1 of 41234Next