Katika tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kucompile boost c++ library kwenye windows kwa kutumia MinGW compiler, ambayo ni gcc compiler kwa windows. Kabla ya kuendelea hakikisha umeinstall MinGW na MSYS.
Kwanza kabisa download boost kutokea hapa. Download (.zip) file. Extract boost. Ukishamaliza fungua command prompt. andika cmd kwenye search bar iliyopo kwenye start menu. kisha nenda kwenye directory uliyoextract boost. Andika
cd boost_directory_path
example: cd C:\Users\bongotuts\Downloads\boost_1_51_0\boost_1_51_0
kisha andika
bootstrap.bat gcc
ukimaliza andika
bjam --toolset=gcc link=static stage
au
bjam --build-type=complete --toolset=gcc stage
Libraries zote zitakuwa kwenye stage folder.
0 comments:
Post a Comment