Kwenye hii tutorial ntawaelezea jinsi ya kudeal na resources kwenye eclipse CDT. Kwa kawaida Eclipse inatengeneza folder pekee kwa ajili ya debug au release binaries,inakuwa inachanganya sana kuamua uweke path gani kwenye program yako na hizo resource uziweke wapi.
Kwanza kabisa tengeneza folder kwenye project yako liite jina lolote, labda Resources. Kuaccess resource yoyote kwenye hili folder utaandika "Resources/myphoto.jpg"
0 comments:
Post a Comment