Sunday, December 23, 2012

Sqlite3 ISSUE

Sqlite3 kwenye android ina some issues kama utasahau kuweka spaces kwenye query zako, unaweza ukapata error ya SQLException : no such column. Pia Sqlite ina autoincrement yenyewe primary key, so sio lazima kuweka autoincrement. ukiweka hamna tatizo.

0 comments:

Post a Comment