This is default featured post 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, December 23, 2012

Sqlite3 ISSUE

Sqlite3 kwenye android ina some issues kama utasahau kuweka spaces kwenye query zako, unaweza ukapata error ya SQLException : no such column. Pia Sqlite ina autoincrement yenyewe primary key, so sio lazima kuweka autoincrement. ukiweka hamna tati...

Thursday, December 13, 2012

Eclipse(C++) jinsi ya kudeal na Resources

Kwenye hii tutorial ntawaelezea jinsi ya kudeal na resources kwenye eclipse CDT. Kwa kawaida Eclipse inatengeneza folder pekee kwa ajili ya debug au release binaries,inakuwa inachanganya sana kuamua uweke path gani kwenye program yako na hizo resource uziweke wapi. Kwanza kabisa tengeneza folder kwenye project yako liite jina lolote, labda Resources. Kuaccess resource yoyote kwenye hili folder utaandika "Resources/myphoto.j...

Sunday, October 28, 2012

Jinsi ya kuinstall Boost C++ library kwenye windows 7 na MinGW(gcc) compiler

Katika tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kucompile boost c++ library kwenye windows kwa kutumia MinGW compiler, ambayo ni gcc compiler kwa windows. Kabla ya kuendelea hakikisha umeinstall MinGW na MSYS. Kwanza kabisa download boost kutokea hapa. Download (.zip) file. Extract boost. Ukishamaliza fungua command prompt. andika cmd kwenye search bar iliyopo kwenye start menu. kisha nenda kwenye directory uliyoextract boost. Andika cd boost_directory_path example: cd C:\Users\bongotuts\Downloads\boost_1_51_0\boost_1_51_0 kisha andika bootstrap.bat gcc ukimaliza andika bjam --toolset=gcc link=static...

Tuesday, October 16, 2012

Jinsi ya kuandaa bootable USB flash disk ya windows 7

Intro Katika tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kuandaa bootable flash disk yenye windows 7 kwa wale wanaotaka kuinstall windows 7 kwa kutumia flash disk. Kama ulishawahi kujiuliza kwa zile computer ambazo hazina CD/DVD drive inakuwaje watu wanainstall operating sytems, basi hii ni njia mojawapo na rahisi. Unaweza pia kununua external CD/DVD drive ambayo inachomekwa kwenye USB, lakini kwa nini ufanye hivyo wakati unaweza kuifanya flash disk yako ikainstall windows. Leo ntawaonyesha kufanya hivi...

Tuesday, October 9, 2012

Jinsi ya kutumia gcc compiler(Basic)

Intro Kwenye tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kutumia gcc compiler kucompile programs zako. Kwa kirefu gcc inamaanisha GNU Compiler Collections ambayo inajumuisha programming language nyingi kama vile C/C++, Java, Objective-C na zinginezo nyingi. Kwenye hii tutorial ntawaonyesha jinsi ya kucompile C/C++ programs, kwa lugha nyingine kama java na objective-c jinsi ya kucompile kunafanana utahitaji kuongeza vitu vichache tu. Ili kufuatisha vizuri hii tutorial inabidi uwe kwenye linux na uwe umeinstall...

Monday, October 1, 2012

Introduction to C

Intro Kwenye tutorial hii tutajifunza jinsi ya kuandika program kwa kutumia C. Kwanza kabisa kabla sijaanza kuna maneno inabidi tuyafahamu. Maneno hayo ni Machine code, Assembly language, High-level language, Compiler, Function na Libraries. Machine code ni nini? Machine code ndio lugha ambayo computer inaelewa. Pindi unaporun/execute program operating system huwa inacopy program yote na kuipeleka kwenye memory, program inakuwa ipo kwenye machine codes. Kama huelewi hii usihofu itakuja kuwa clear...

Friday, September 28, 2012

Jinsi Ya Kuinstall Ubuntu

Intro Kwenye tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kuinstall ubuntu katika kompyuta yako. Kwa wale wenzangu wasiofahamu ubuntu ni nini?. Ubuntu ni operating system kama ilivyo microsoft windows nadhani wengi tutakuwa tunaifahamu ila yenyewe imetokana na linux. Angalia tutorial yangu ya linux na distro mbali mbali ili ufahamu vizuri kuhusu linux. Kwa nini ubuntu? Najua wengi mtakuwa mnajiuliza kama kompyuta yangu imekuja tayari ina microsoft windows kwa nini niinstall ubuntu. Kwanza kabisa ubuntu...

Jinsi ya kuburn ubuntu kwenye flash disk

Intro Katika tutorial hii ntawaonyesha jinsi ya kuburn ubuntu kwenye flash disk. Kwa kawaida watu wengi huwa wanainstall operating systems kwa kutumia CD au DVD kwa sababu tu ndo njia ambayo imekuwa ikitumika kwa muda mrefu. Ukweli ni kwamba kuinstall kwa kutumia flash disk kunachukua mda mfupi zaidi kuliko CD au DVD.Sababu ni kwamba kompyuta ikihitaji data, CD inabidi izunguke mpaka ifike mahali ambapo ile data ipo ndo kompyuta iisome, wakati kwa flash disk hakuna kuzunguka, data inapatikana...

Wednesday, September 26, 2012

Objective-c

First thing we need to do is to create a new project, Navigation-based Application and call it for example “MyUITableView”. Open RootViewController.h and create new variable NSMutableArray called myList - (void)viewDidLoad { [super viewDidLoad]; // initializing myList = [[NSMutableArray alloc] init]; // adding objects to the array [myList addObject: @"Objective-C"]; [myList addObject: @"PHP"]; [myList addObject: @"C#.NET"]; [myList addObject: @"VB.NET"]; [myList addObject:...

Wednesday, September 19, 2012

C++ test

// Comment public class Testing { public Testing() { } public void Method() { /* Another Comment on multiple lines */ int x = 9; } }...

Jinis ya kutuma email kwenye iphone

                          NSString *mailString = [NSString stringWithFormat:@\"mailto:?to=%@&subject=%@&body=%@\", [to_s stringByAddingPercentEscapesUsingEncoding:NSASCIIStringEncoding], [subject_s stringByAddingPercentEscapesUsingEncoding:NSASCIIStringEncoding], [body_s stringByAddingPercentEscapesUsingEncoding:NSASCIIStringEncoding]]; [[UIApplication sharedApplication] openURL:[NSURL URLWithString:mailString]]; NOTE:...

Monday, September 17, 2012

Testing

Polisi wa Kenya wanasema wameepusha shambulizi kubwa la kigaidi likiwa katika hatua za mwisho za matayarisho, na kukamata watu wawili wakiwa na milipuko, silaha na risasi. Watu hao wawili walikamatwa katika mtaa wenye wahamiaji wengi wa Kisomali mjini Nairobi, alisema Boniface Mwaniki, mkuu wa kikosi cha kupambana na ugaidi. Alisema watu hao wanashukiwa kuwa na uhusiano na makundi ya al-Shabab la Somali linalosemekana kuwa na uhusiano na al-Qaida. Polisi walikuta fulana nne za...

About Tutorials

Zitakuwa za taaluma mbali mb...

Tutorials

kaa mkao wa kula tutorials zinakuja za kufa kiumbe. Tcha...

Page 1 of 41234Next